Asilimia kubwa ya marafiki watakufurahia pale utakapokuwa sawa nao au watapokuwa wamekuzidi kimafanikio na hii ndiyo sababu: kadri unavyozidi kufanikiwa ndipo unapozidi
kupunguza marafiki.
Kumbuka kuwa rafiki yako ni mtu ambaye anaweza akaua maono, ndoto na mafanikio yako kwa haraka sana kwa maana ni mtu ambaye vitu vyako vingi umekuwa ukimshirikisha. Na hii imewapelekea watu wengi waliofanya makosa katika kuchagua marafaki sahihi kuwa na majuto katika maisha yao yote.

Pata kitabu cha  SIRI ZA URAFIKI kilichoandikwa na Mr. Saul Kalivubha ( Mkurugenzi wa Fikia ndoto zako Label ) ili uweze kujifunza mengi kuhusu marafiki.
Kitabu kinapatikana popote ulipo kwa gharama ya Sh 5000 tu.
Piga namba 0652134707/0756388688 au 0719200317/0745325174 ili kuweza kupata nakala yako.
Kitabu hiki kinaweza kusomwa na watu wa kila rika. Nioneshe rafiki zako nitakuambia jinsi wewe ulivyo, marafiki ni mrejesho wa wewe ulivyo. Usikose kusoma kitabu hiki kwa hakika utajifunza mengi kuhusu marafiki

0 comments:

Post a Comment

 
Top