Kumbuka kumshukuru Mungu kwa kukupa nafasi ya kuwa mzima kwa maana ni kwa upendo wake ndo maana upo mzima hata sasa. Sema Asante Mungu bila kuangalia ni magumu gani unayo yapitia maana inawezekana hiyo ikawa ndiyo njia ya mafanikio yako. Pia kumbuka kuna kusudi ambalo linakufanya wewe uwepo duniani, kwa hiyo usijidharau bali jione kuwa ni mtu wa thamani, mwenye uweza mkubwa wa kufanya jambo lolote unalolihitaji na likatimia.
Tumia kipawa/kipaji chako, elimu yako pamoja na maarifa ili uweze kukamilisha mipango yako.
Nakutakia Tafakari njema.

0 comments:

Post a Comment

 
Top