Hivi unajua kuwa watu wengi wamelala makaburini na ndoto zao!!! na hii ni kwa sababu hawakuzifanyia kazi walipokuwa wanaishi hapa Duniani. Usiwe mmoja wao, amka sasa na ufanyie kazi ndoto yako, jitahidi uweze kufika vile unavyotaka kuwa, kama unataka kuja kuwa msanii mkubwa hakikisha unakuwa, kama unataka kuja kuwa mtu mashuhuli Duniani jitahidi uwe na kama unataka kuja kuwa mfanyabiashara mkubwa nayo inawezekana.
Ila kumbuka: Hakuna mafanikio pasipokuwa na maumivu, "no gain without pain" katika kila jambo unalotaka kufanya kuna gharama zake za kulipia, usiogope kulipa gharama hizo ili mradi unamuamini Mungu wako na kila kitu kitakuwa sawa
Nakutakia tafakari njema katika kutimiza ndoto yako.
one way to prosperity
Home
»
»Unlabelled
» Usikubali kufa na ndoto yako
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment