Kwa mara ya kwanza, Johnson anakutana na
msichana aliyeweza kuchukua taji la urembo katika jimbo la Washington nchini Marekani. Huku akiweka nia ya kuweza kumpata mrembo huyo. Kumbe kwa kufanya hivyo alijikuta akizama kwenye mateso
makubwa maishani. Na huo ndiyo ulikuwa mwanzo wa kuitambua karama aliyopewa na mwenyezi Mungu. Je? ni karama gani aliyoweza kuiona Johnson katika maisha yake. Fuatilia hadithi hii kutoka kwa mtunzi
Emmanuel Mgaya.
Usikose nakala yako
Unaweza kupata kitabu hiki kwa gharama ya sh 5000 tu.
Wasiliana kwa namba ya simu 0755073016
Usikose ni bonge la hadithi lenye kufundisha na kuburudisha
Oky gudah
ReplyDelete