Siku zote mapenzi ya kweli yanatoka ndani ya moyo, mjali sana mtu anayekupenda na kukuthamini siku zote. Usimuache rafiki anayekupenda maana ni vigumu kumpata mwingine kama huyo na kuna gharama ya kumpoteza. Na pia hata katika maisha usiache kufanya kitu unachokipenda kutoka ndani ya moyo wako, kwa maana kama ilivyokuwa gharama kumuacha rafiki wa dhati ndivyo kuna gharama ya kuacha kufanya jambo unalolipenda. Anza kufanya jambo unalolipenda kuanzia sasa. Cheza nafasi yako.

0 comments:

Post a Comment

 
Top