Kipaji chako ni nini?
Uoga wako ndo umasikini wako, uoga wa kuanza jambo unalolipenda eti kisa huna hela, hela itakuja tu we anza kufanya uone.
Unadhani watu wote waliofanikiwa walizikuta hela nyumbani kwao!!! au walianza na mitaji mikubwa!!! Hapana wengine walianza from zero mpaka kufika kwenye heroes. Anzisha jambo kuna mtu atakuja kukusapoti.
Chochea unachokipenda kwa kusaka maarifa juu ya hilo jambo unalolipenda. Kama ilivyo kwa mwanafunzi ili afauru anahitaji kutafuta material sehemu tofauti tofauti ndivyo ilivyo kwako pia, ili uweze kufanikiwa unahitaji kutafuta maarifa kutoka sehemu tofauti tofauti hasa hasa juu ya kile unachokipenda kukifanya katika maisha yako.
Kuza kipaji chako

Don't forget to visits my You Tube channel Geofrey Mpeke to get more knowledge.

0 comments:

Post a Comment

 
Top